Nakuona kwa mbaaaaali nikipita mtaani kwenuWakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....[emoji7][emoji7]
Kasinde Matata.
Ina maana wewe hujawahi kutendwa?🤔🤔 Siku zote wewe ni raha tu kwenye mapenzi😘😘Wakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍
Kasinde Matata.
Kuna Mario anamdatisha mstaafu amchune mafao.Hii ndo inaitwa kupatwa kwa mstaafu[emoji4]
Unazeeka n utamu wako....[emoji39][emoji116]Hatariiii lakini salamaaa....
Hahahahahahha
Unazeeka n utamu wako....[emoji39][emoji116]View attachment 2082443