Serikali haiwachukui ndugu yangu,itabidi utafute mwenyewe kazi!Jeshini sio lazima wakukubalie,itategemea na vigezo vingine walivyoviweka kama utakuwa umevikidhi,kama umri,elimu na hali yako ya kiafya.Hiyo pia haitoshi,itategemea na ushindani,kwa maana kuna watu,wenye elimu kubwa ya umeme kuliko wewe,na vigezo vingi kukuzidi,hawajachukuliwa...Jipange kujiajiri kwa fani yako hiyo nzuri