Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

Anagalau nimesoma upande wa pili wa stori,

 
Edson nakupenda kwa ufafanuzi wako wa mara kwa mara
kwa upande mmoja umeeleweka, je tukubali kuwa ni kweli
ndivyo ilivyokuwa?

 
umejuaje kuwa siyo saizi yake mkuu,
akina mama miili inafutuka haraka
hasa tunapokuwa kwenye neema.

 
Nilikuwa nafatilia hili tukio kwa uchungu sana
Mpaka watoto wa marehemu walipokuwa wanahojiwa Channel 5 wakatoa ushauri kwa wanandoa acheni kusikiliza ya nje
Matatizo yenu jitahidini kusolve wenyewe bila kuingiliwa "
inasikitisha sana
 

Halafu cha ajabu MUNGU atakupa mume wa huko huko....hapo sasa......
 
Nilikuwa nafatilia hili tukio kwa uchungu sana
Mpaka watoto wa marehemu walipokuwa wanahojiwa Channel 5 wakatoa ushauri kwa wanandoa acheni kusikiliza ya nje
Matatizo yenu jitahidini kusolve wenyewe bila kuingiliwa "
inasikitisha sana

Huo ndo ukweli wenyewe watu wa nje ni nuksi kwenye ndoa tena si wote wanapenda mkae kwa amani na maelewano ambayo hupelekea mafanikio!
Duh hii mbaya sana.......
 
Ee Mola tuepushe na haya Mabalaa! This is beyond one's imagination. Huyu mama kapitia mateso makali sana. Nothing can justify the torture she went through!!
 
umejuaje kuwa siyo saizi yake mkuu,
akina mama miili inafutuka haraka
hasa tunapokuwa kwenye neema.
Aika Mae (Mamndenyi), kiphfa kuworhe wamama wa kichaka waore kinu kituntu, na weich ny irunda na menya iyo
huyu jamaa bado analipa, na ninaamini kabisa huyu Marehemu (RIP) huenda ni mtaalam wa mapigo kwani hawa wakurya wanavyokutana na kina mama wa ki-Pwani wanaojua maradhi kweny shuguli huwa hatari, ndio maana jamaa akaamua wakose wote na hata huyo jamaa yake mpya
 
Aaaah...kumbe huyo mama/dada ameshafariki!? RIP
 

Ndugu umeongea ukweli kabisa. nakumbuka kuna jamaa alimfukuzia adui yake maeneo sita tofauti, ilipofikia eneo la saba, njemba alishindwa kuvumilia alimpa kipigo cha mbavu hadi jamaa akapoteza maisha. Mtuhumiwa alikaa rumande miaka saba, siku ya hukumu ya kesi yake ya kuua bila kukusudia jamaa akaachiwa huru!

Inauma sana unapofiwa na ndugu lakini kwa style hii, njemba hapo uzalendo ulimshinda. Lakini pia inaonekana huyu mwanamke alikuwa ni wale wenye tabia za kishankupe na ni kama bado alikuwa amemzimikia sana mumewe!
 
Eee Mungu wanusuru wanawake wanaoteswa kikatili namna hii!!

Kwa leo imetosha.
 
Na akina mama ndo inaposhindikana achana naye
ukiweza hata hata mkoa, hata nchi why tena unakaa hapo hapo
tena mnatambiana kwenye vilabu vya pombe, ina maana akina mama hatuelewagi au.
 
Niko tofauti na huruma za wengi humu ndani. Huyo dada ana deserve kifo kama hiki! niiteni mtakavyo, teha bahati mbaya huko aliko sasa alipokelewa na ibilisi. Ni mwanaume gani anaweza kuvumili upuuzi wa wa hivyo? Kama umeamua kuwa na bwana mwingine kuna sababu ya kuendelea kunionyeshea? To heal, tuliobaki tunajifunza nini?

God forbide!
 
...Nyumba Kubwa, angalau umeongea neo hapo. Unajua wanawake wengi huwa hawajui kuwa katika mambo yote ambayo mwanaume hawezi kuyavumilia kusikia hapa duniani ni kuambiwa kuwa watoto aliozaa si wake.....Hili jambo ni baya na huwa linaumiza especially kwa mtu aliyeamini kuwa ameoa mke wa ndoa na kuwa na uhakika wa kile alichozalisha....Any way bahati mbaya sana matatizo ya namna hii ni kama mchezo wa mpira kosa linaonekana la yule mchezaji alionwa na refa hata kama alichokozwa akicheza rafu anaadhibiwa. Wale wapenzi wa soka mnakumbuka kisa cha Zinedine Zidane na Marco Materrazi....Zidane alitukanwa na kukashifiwa uvumilivu ulimpomshinda alifanya alichofanya na ulimwengu ukashuhudia analimwa red card...Ladies epukeni kuwa na midomo mikali...R.I.P Nasra.
 
sio wote Paloma, mbona mimi ni wa MARA but don't have those things, olewa tu na jamaa kama yupo siriaz, usimnyime mke jamaa kisa samaki mmoja akioza wameoza wote,

Duh!
eti eeh.....ngoja niendelee kufikiria labda yeye hajaoza bado.............asante kwa ushauri Stineriga
 

mhh,ila nae alikuwa mjeuri!mungu amrehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…