Nassib Abdul a.k.a Diamond Unadhalilisha Wanaume Wenzio

Kumjadili huyo huyo mvulana ni kupoteza muda.

Alishawadhalilisha sana toka huko alikoanzia lbd km wengine mmemsahau,,kwa ZARI ni muendelezo wa upumbavu alionao.
[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Me naishi nao nakuambia unaleta ubishi wakati ujanijua hata nina comment hapa ni nani,Ngoja nikuache naona unataka kubishana tu,ila omba Mungu akuepushie tabia za namna hiyo ni za kishenzi.
Braza kuishi nao sio tatizo, na kutokukufahamu wewe si tatizo ungefikiria namna ya ku_punch hoja zangu mimi WCB naijua niishie hapa embu pangua hoja zangu
 
Diamond mbakaji, alikabaka kale kadada madale, kaka amua kumuuzia kesi mpiga picha wake, daimond ni mchafu
 
Zari ni mwanamke, diamond ni mwanaume.. lazima kuwe na tofaut
 
Hajaumizwa bali anatafuta kiki akitaka asigongewe aachane na magari ya kibunge anunue private jet kama ya P square si ana hela.
 
Kama kweli diamond ametelekeza watoto kwa sababu tu ya chuk ya mapenzi, basi anatakiwa amsamehe baba yake kwa kuwa wanapita njia ileile
 
Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke.....

Wanawake wanamapungufu ila mwanaume kustate mpungufu au siri za ndan in Public ni zaid ya mapungufu.......!
Kanywe bia kwa mangi nakuja kulipa
 
Ukiguswa katika mapenzi lazima utaongea tu Hy domo yamemkuta ndomaana ameongea tusimlahumu ndy ukubwa ukikufika
 
Ukiguswa katika mapenzi lazima utaongea tu Hy domo yamemkuta ndomaana ameongea tusimlahumu ndy ukubwa ukikufika
Kweli mkuu.. Ukiona mtu mzima analia basi ujue ameumia!!
 
Kama kweli diamond ametelekeza watoto kwa sababu tu ya chuk ya mapenzi, basi anatakiwa amsamehe baba yake kwa kuwa wanapita njia ileile
Unaangaliaga Tv au Youtube, au kusikiliza Radio?

Au wewe ni JF tu hata IG huijui maana unayoyaandika yamekwisha tendeka.
Wazungu hawakukosea kusema No research no right to speak wewe ni mkurupuko
 
Anakuathiri nini huyo Nassib Abdul a.k.a Diamond kwa Yale aloyaongea!? Wewe ndio unatuaibisha sisi wanaume kwa kuwa mbeyambeya kupitia mambo ya kimbeyambeya kama ya hao akina Nassib Abdul a.k.a Diamond wako.
 
Nimetoa maoni yangu kulingana na bandiko, siwez kutoa maoni ya bandiko ambalo halipo... ndo mana nimesema, kama ni kweli (huenda syo kweli) kwamba diamond anawatelekeza watoto kwa sabab ya chuk ya mapenz basi afute kinyongo kwa 100% kwa baba na amsaidie.. maana njia ni ileile.. ajue tu kwamba mambo haya hayatokei kwa bahat mbaya. Hawa akina mama (ingawa syo wote) wakizinguana na waume zao wana tabia ya kuwaweka kando watoto dhid ya baba yao

Aidha kuna wababa ambao wakizinguana na wake zao wanawatelekeza watoto ili kumkomoa mwanamke, yote yapo

Nadhan umenielewa bro, na wala sijamuattack diamond, nimetumia neno KAMA... IG nimejiunga nina miaka takriban 7 sasa
Unaangaliaga Tv au Youtube, au kusikiliza Radio?

Au wewe ni JF tu hata IG huijui maana unayoyaandika yamekwisha tendeka.
Wazungu hawakukosea kusema No research no right to speak wewe ni mkurupuko
 
Huyu bwana si anajiita kwa kujigamba ye n sukar ya warembo
Imekuwaje anachapiwa tena
 
Kwel kwa vile vikuku miguuni, kwel n dume linalochapiwa Mwanaume sukar !!!!
 
Ndio utambue mkuu kuwa si kila kisemwacho humu kina ukweli.

Sikiliza interview yote YouTube alafu uje tena hapa kama hujawaona wachangiaji wengi ni mafala watu wamihemko tu.

Wanafanya kama magazeti ya shigongo
 
[emoji3][emoji3]poa bro
Ndio utambue mkuu kuwa si kila kisemwacho humu kina ukweli.

Sikiliza interview yote YouTube alafu uje tena hapa kama hujawaona wachangiaji wengi ni mafala watu wamihemko tu.

Wanafanya kama magazeti ya shigongo
 
Kwel kwa vile vikuku miguuni, kwel n dume linalochapiwaMwanaume sukar !!!!
😝😝😝 kuvaa kikuku hakuna maana hiyo unayoifikiria wewe mjifunze kiswahili aisee.

Kikuku ni urembo wa mwanamke hauna maana nyingine zaidi ya hiyo, ni sawasawa na neno KUDANGA maana yake ni kutafuta mdangaji mtafutaji kama hujui kitu uwe unauliza.

Kutoboa pua, kuvaa hereni n.k kwa tamaduni zetu si vitu vya kufanywa na mwanamume lakini ushawahi kujiuliza kwanini vinafanyika na vijana kibao sasa hivi?

Chris brown muhuni kupitiliza Pusha T mbwa wa America, Meek mill criminal mzuri wa U.S, Birdman na mwanae wa kumlea Lil wayne wote hawa wameshawah kuvaa vikuku nao wako kama unavyodhani?
 
Kwani nini kinashindikana[emoji16][emoji16][emoji16], we jamaa bana.

Sijasema ndio hivyo, lakini pia inawezekana.
 
Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke.....

Wanawake wanamapungufu ila mwanaume kustate mpungufu au siri za ndan in Public ni zaid ya mapungufu.......!
Eti kwasababu mwanamke kaongea naye anaongea kama mipasho ya taarabu kopa na kidogo sijui kadogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume kifua jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…