Nassib Abdul a.k.a Diamond Unadhalilisha Wanaume Wenzio

Ndo Unavyojidanganya? Kipaji chake ndo kimemfikisha hapo, Uyo mwingine Tip Top ilimshinda Jiulize kati ya wale wasanii wote wa Tip Top yupi aliyemfikisha hat Level za mbosso?
Bro bro bro, nimekuita mara tatu acha masikhara kabisa Yani mboso umlinganishe na madee, tunda man au kassim mganga, Keysha au juma kassim nature kiroboto acha utani aisee

Wapo waliodindoka kweli ila usiseme hakuna aliyefikia mafanikio ya mboso hao niliokutajia mboso hawagusi hata kidogo heshimu legendary hao nilokutajia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwa sifa hizo basi wanawake wanaostahili heshima ni wachache mno labda aslimia 5 ya wadada wa mjini
 
Tofauti Kati ya Malaya na Kahaba.. Hawa socialite ni Makahaba bila MAPENE hupati papuchi .. Malaya anatoa mzigo Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…