Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 148
best hawa watu wa enzi hizo unaandika kitabu kuwahusu?yani thread zako zzzoozte we ni nani huyu flani,nani sijui huyu!lol!mi najaribu kukusoma kama sikuelewi vile!no offence lakini!
haya bana!hamna snowhite mi nataka tushee tu baadhi ya vitu tulivyokuwa tunavimiss zamani wasiojua wajue na kujifunza ya kujifunza.
Alikua mchunga mbuzi maarufu sana.