Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Kila kukicha nimekuwa nikisoma matangazo ya kutafuta wapenzi, wachumba, mke na mume,tena yanaongozana ladies na gentleman najiulizaga si mtafutane mambo yawe rahisi tu.
Lakini sijawai kusoma mrejesho wa mafanikio,mdau kutuambia kwa furaha kuwa amefanikiwa asilimia 100% yupo na mume au mke kutoka hapa JF.
Wengine tunavunjika moyo tukiona muliotangulia kutafuta hamna mrejesho mzuri,mjitahidi kutupa mrejesho iwe ni motivation kwa wengine.
Naona kama mtaani ni rahisi zaidi kupata ukitakacho.