Mkuu hatukupi mrejesho, we baki hivyohivyo ukisubiri mirejesho isiyokuhusuKila kukicha nimekuwa nikisoma matangazo ya kutafuta wapenzi, wachumba, mke na mume,tena yanaongozana ladies na gentleman najiulizaga si mtafutane mambo yawe rahisi tu.
Lakini sijawai kusoma mrejesho wa mafanikio,mdau kutuambia kwa furaha kuwa amefanikiwa asilimia 100% yupo na mume au mke kutoka hapa JF.
Wengine tunavunjika moyo tukiona muliotangulia kutafuta hamna mrejesho mzuri,mjitahidi kutupa mrejesho iwe ni motivation kwa wengine.
Naona kama mtaani ni rahisi zaidi kupata ukitakacho.
Weka tangazo lako, halafu uweke mrejesho wa kufanikiwa au kutofanikiwa
Natafuta mumeKila kukicha nimekuwa nikisoma matangazo ya kutafuta wapenzi, wachumba, mke na mume,tena yanaongozana ladies na gentleman najiulizaga si mtafutane mambo yawe rahisi tu.
Lakini sijawai kusoma mrejesho wa mafanikio,mdau kutuambia kwa furaha kuwa amefanikiwa asilimia 100% yupo na mume au mke kutoka hapa JF.
Wengine tunavunjika moyo tukiona muliotangulia kutafuta hamna mrejesho mzuri,mjitahidi kutupa mrejesho iwe ni motivation kwa wengine.
Naona kama mtaani ni rahisi zaidi kupata ukitakacho.
Nimekuwekea mrejesho post#10 umeona?nishaweka bado hujaliona