Nasubiri kwa hamu Taifa Stars itakapocheza Kombe la Dunia

Nasubiri kwa hamu Taifa Stars itakapocheza Kombe la Dunia

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
najipa matumaini kabla ya 2030 tanzania inaweza kushiriki kwenye fainali za kombe la dunia,nani anabisha?
 
Umekosea hapo ndo itakuwa inakosa point moja au mbili ili kufuzu michuano ya afrika
 
Mimi nabisha nasema nabisha, tena na tena. CHAN tu tumeshinwa Africa cup of nations tunashindwa, wewe unawaza world cup? Kweli? Halafu Malinzi rais TFF. Duh!! Utasubiri sana
 
Back
Top Bottom