mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Ni aina fulani ya ndondocha hiviUnaweza kukuta mtu kama wewe una familia na watoto!Toilet paper ya lumumba,shame!
Unaweza kukuta mtu kama wewe una familia na watoto!Toilet paper ya lumumba,shame!
Ni aina fulani ya ndondocha hivi
Niamini tu kuwa lugha hiyo mnayotumia na majibu/hoja zenu ni kwa ajili ya hili jamvi la JF. Lakini, lakini kama ndiyo lugha na hoja zenu, hakika mkipanda kwenye majukwaa ya siasa, wakati wa kampeni, hamtatoka salama
Jifunzeni kujibu hoja! Sio kuleta matusi bila sababu, mada huilewi its better to stay quite! Jukwaani humu msitake kulazimisha mawazo mnayoamini ninyi! Kama hoja imekukera jibu kwa hoja! La sivyo pita wima!.Ni aina fulani ya ndondocha hivi
Huu hawawezi kuususia. Watashiriki kwa kujali maslahi yao. Na hapo ndipo wale waliokatazwa wasishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa watakapolianzisha! Kumbuka huku chini ndio kuna wapiga kura na wao hawana wawakilishi wa kuwasemea mtaani. Yaani safari hii, CCM kiulaini!!!Kama kweli chadema na ACT waligoma kwenye uchaguz wa wenye vit wa mitaa sababu ya kuminywa kwa haki na demokrasia Basi hata uchaguz mkuu nategemea watagoma
Ila ikitokea wameshirik Basi itakua waligomea uchaguz wa wenyevit wa mitaa sababu haukua na faida kwao
Na Kama ni kweli waligoma sababu uchaguz ulikua wa kibabe na dhulma Basi ili wasiwe wanafk wasusie Tena huu uchaguz sababu hata huu pia Una Mambo wasio yataka ikiwemo tume huru wanayo iimba kila siku kua Sio huru ilihal tume yetu ni huru kwa mujibu wa katiba yetu
Chadema tutegemee nin Mana siku zinaisha na tume ni Ile Ile je mtaingia kwenye uchaguz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hawawezi kuususia. Watashiriki kwa kujali maslahi yao. Na hapo ndipo wale waliokatazwa wasishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa watakapolianzisha! Kumbuka huku chini ndio kuna wapiga kura na wao hawana wawakilishi wa kuwasemea mtaani. Yaani safari hii, CCM kiulaini!!!
Sasa bila wenyeviti wa mitaa na vijiji wanapata wapi kura?Chadema imetoa Boko yenyewe Ila kwa fununu mzee alikua Kala hela za ruzuku hakua na fungo la kuwapa wenye vit ili ziwasaidie kwenye kampen na uchaguzi so boss akaamua apige Chin
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila mtu JF ni mwanasiasa!Wengine ni watazamaji tu na hatuna mpango na hizo siasa zenu za majitaka!Niamini tu kuwa lugha hiyo mnayotumia na majibu/hoja zenu ni kwa ajili ya hili jamvi la JF. Lakini, lakini kama ndiyo lugha na hoja zenu, hakika mkipanda kwenye majukwaa ya siasa, wakati wa kampeni, hamtatoka salama
Je, ninyi ni binadamu kweli? Nasubiri gunia la matusi nilitumie kama mto usiku wa leo.
Sio kila mtu JF ni mwanasiasa!Wengine ni watazamaji tu na hatuna mpango na hizo siasa zenu za majitaka!
uchaguzi uko palepale upinzani unaendelea kuimarika na majimbo mengi yatakwenda kwa wapinzaniKama kweli chadema na ACT waligoma kwenye uchaguz wa wenye vit wa mitaa sababu ya kuminywa kwa haki na demokrasia Basi hata uchaguz mkuu nategemea watagoma
Ila ikitokea wameshirik Basi itakua waligomea uchaguz wa wenyevit wa mitaa sababu haukua na faida kwao
Na Kama ni kweli waligoma sababu uchaguz ulikua wa kibabe na dhulma Basi ili wasiwe wanafk wasusie Tena huu uchaguz sababu hata huu pia Una Mambo wasio yataka ikiwemo tume huru wanayo iimba kila siku kua Sio huru ilihal tume yetu ni huru kwa mujibu wa katiba yetu
Chadema tutegemee nin Mana siku zinaisha na tume ni Ile Ile je mtaingia kwenye uchaguz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, ustaarabu na uungwana nao ni siasa?Sio kila mtu JF ni mwanasiasa!Wengine ni watazamaji tu na hatuna mpango na hizo siasa zenu za majitaka!
uchaguzi uko palepale upinzani unaendelea kuimarika na majimbo mengi yatakwenda kwa wapinzani
uchaguzi uko palepale upinzani unaendelea kuimarika na majimbo mengi yatakwenda kwa wapinzani