Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
Naomba msaada wakuuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuna Tangawizi kila siku asubuhi mchana na jioni kwa muda wa mwezi utapona.naomba msaada wakuuu
Tafuna Tangawizi kila siku asubuhi mchana na jioni kwa muda wa mwezi utapona.
Unaweza kuwa unasumbuliwa na acid reflux....
je,hii tiba inaweza tibu ata wanaotokwa na harufu mbaya mdomoni tu bila kutoka tumboni? vp ukishatafuna unameza?
Ndio unaweza kutumia hiyo dawa Tafuna Tangawizi kila siku asubuhi mchana na jioni kwa muda wa mwezi utaponaje,hii tiba inaweza tibu ata wanaotokwa na harufu mbaya mdomoni tu bila kutoka tumboni? vp ukishatafuna unameza?
Hii kitu yanisumbua sina raha kabisa us acid reflux inanisababishia kubeua sana na mdomo kutoa harufu mbayaUnaweza kuwa unasumbuliwa na acid reflux....