Nasumbuliwa na jicho kuwa jekundu kwa pembeni

thechosenone

Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
17
Reaction score
5
Nimekuwa nikisumbuliwa na jicho jekundu kwa muda wa kama mwezi mmoja hivi. Kwanza ilipoanza nikajua red eyes so drops na maji ya uvuguvugu nikatumaini ingesaidia.

Imeenda drops zikaisha nikaenda ccbrt wakanipa drops zingine. Nimetumia lakini wapi sioni mafanikio.

Kuna yeyote anayejua tatizo ni nini au ashawahi kukumbana na tatizo hili. Nataka kurudi tena kuchek CCBRT kuchek lakini nimeona sio mbaya pia nikisikia maoni na ushauri wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…