Nasumbuliwa na Jipu

Nasumbuliwa na Jipu

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Nimefanya jipu anaeo la paja yani dah linanikosesha amani, Nimelitumbua limetoa usaha lakini bado naona maumivu yapo na bado lipo.

Msaada wa dawa wakuu.
 
Pole bana! nenda bistali lisijeweka bakteria maana inaonekana hujalikamua vizuri.
Una bahati halijaota kule Suez canal...
 
nenda hospital waambie unaomba ufanyiwe culutre au gram stain ili wajue ni bacteria gani yupo hapo kwenye jibu.
Naam utapona bila shida
 
Back
Top Bottom