chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Habari wana-JF,
Nasumbuliwa na kifua kubana,
Kila nivutapo pumzi ndani au nje mbavu zinabana na kutoa sauti kama mtu anayevunja vijiti vikavu.
Kwa mtu aliye karibu yangu wakati huo anaweza kabisa kusikia sauti ninapovuta hewa kwani zinakakamaa kabisa.
Natanguliza shukrani