Kiukweli huwa sipendi kunywa dawa za hospitali sana hasa kwa ugonjwa wa mafua naachaga tu unaisha wenyewe. This time haya mafua yamechukua muda kidogo kuna saa nakohoa sana nabanja kidogo,
Naombeni ushauri nitumie nini cha asili liishe hao wakina mucolyn kweli sipendeleagi.
Siku nyingine ukome kuanza na neno "Embe" au "Ebu" au "Hebu" si ktk uungwana hasa pindi unapoomba kitu.....
Tumia dawa hii.
1. Chukua jivu kidogo kama kiasi cha robo kijiko cha chakula kutoka kwenye jiko la mkaa au la kuni lipoze kisha toa vijimkaa mkaa upate jivu safi.
2. Chukua chumvi kidoogo tu.
3. Changanya hilo jivu na chumvi mchanganyiko ukolee vzr.
Lamba hilo jivu.
Urudia kutengeneza na kulamba hilo jivu 1x3
Ikizidi sana ni siku mbili au tatu kubanja kutaisha na kifua kitapona kwa uwezo wa Mungu.