Nasumbuliwa na Makohozi mazito katika koo

Embesha

New Member
Joined
May 9, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Tafadhali msaada nimekuwa nikisumbuliwa na makohozi mazito katika Koo yamegandamana katka Kuta za koo.

Napata shida sana naaibika mbele za watu nimazito sana.

Niko Arusha test gani nifanye au hospital gani niende kupata msaada au dawa gani nitumie kuondoa mucus hii.
 
Nenda Hospitali karibu yako ukamuone Daktari hiyo ni Mucus inakusumbuwa usipo pona na dawa za hospitali nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Naomba tuchat wasap tafadhali. 0784448747
 
Tafadhali msaada nimekuwa nikisumbuliwa na makohozi mazito katika Koo yamegandamana katka Kuta za koo.

Napata shida sana naaibika mbele za watu nimazito sana.

Niko Arusha test gani nifanye au hospital gani niende kupata msaada au dawa gani nitumie kuondoa mucus hii.
Habari yako Mkuu?pole sana nenda karibu na hospitali unapo ishi ukatibiwe usipo pona nitafute mimi kwa What's ap namba yangu ni +905013460377 ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Back
Top Bottom