Una umri gani?Habari
Nasumbuliwa na maumivu kwenye magoti nikichuchumaa nasikia maumivu nikinyanyuka napo maumivu lilianza goti LA mguu wa kushoto saivi ni miguu yote sijui ni nini hiki cjui nfanyaje
Ushaur plz.
[emoji87] [emoji87]Kapime tezi dume
Habari
Nasumbuliwa na maumivu kwenye magoti nikichuchumaa nasikia maumivu nikinyanyuka napo maumivu lilianza goti LA mguu wa kushoto saivi ni miguu yote sijui ni nini hiki cjui nfanyaje
Ushaur plz.
Nenda hospitali kwanza.Habari
Nasumbuliwa na maumivu kwenye magoti nikichuchumaa nasikia maumivu nikinyanyuka napo maumivu lilianza goti LA mguu wa kushoto saivi ni miguu yote sijui ni nini hiki cjui nfanyaje
Ushaur plz.
Kama wa kike jeKapime tezi dume