Ancient Resident
Member
- Mar 9, 2023
- 48
- 61
Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji mengi sana ya chumvi.
Ilipofika usiku mambo yalibadilika (saa nane) nkaenda hosptal nkapima damu na mkojo nkagundulika nina U.T.I lakini doctor akanambia kwa hali ya maumivu nayokuoona nayo naomba tufanye ULTRA-SOUND, baada ya ultra majibu yametoka, katika kuelezewa majibu nkaambiwa either kuna kijiwe kimeziba mfumo wa mkojo au uvimbe ila yule wa ultra sound alishindwa tambua, ikabd aniandikie CT-SCAN, ambayo mpaka sasa cjaifanya kwasababu natumia cash afu ni Private hosptal,
NAOMBENI USHAURI KUTOKA KWENU WATU WENYE UZOEFU
NAambatanisha majibu ya ULTRA-SOUND