Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno, naomba ushauri

MAGISAC

Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
97
Reaction score
26
Habari zenu wana JF. Nina tatizo ambalo limekuwa likinitesa kwa takribani mwaka sasa. Ninasumbuliwa sana na kiuno yaani ninasikia maumivu makali siwezi hata kuinama kudeki. Nimeshakwenda hospital ya Muhimbili wakanipiga X-RAY lakini halikuonekana tatizo, hivi karibuni nimekwenda regence wakanianzishia physiotherapy nimemaliza lakini nimepata nafuu kwa muda tu. Mpaka sasa sijui tatizo ni nini. Ninakosa raha kwani hata ndoa sienjoy tena. Tafadhari anayejua dawa ya tatizo hili naomba anisaidie. Mungu awabariki.
 
pima mkojo afu unapotaja maumivu sema maumiv ya jinsi gani yan unaumia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…