Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

Mndengereko One

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
340
Reaction score
243
Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
 
mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze

Pole sana.

Ni vyema ukarudi hospital ili ukaonane na daktari bingwa wa mifupa (orthopedics surgeon) kwa uchunguzi zaidi wa pingili za uti wa mgongo.
Kila la kheri.
 
mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Mimi nina uzoefu wa kuumwa hivyo vitu hasa upper back ukikaa peke yako jipime urefu wa miguu kama uko sawa, lala kwa tumbo kisha inua miguu yote ishikanishe sawa sawa halafu mwambie mtu aangalie kama visigino vipo kwenye urefu mmoja, au lala kwa mgongo kisha simamisha miguu halafu tizama magoti kama yako sawa.
 
Nilikuwa na maumivu miezi 2 nyuma nimepaka kila dawa nikaingia kwa Dr YouTube, wengi wakasema kitungu somu ni kiboko ya maradhi.

Nilikuwa natwanga halafu naweka kwenye gilasi nachanganya na maji siku 4 maumivu yote yame ondoka.
Baada ya kuchanganya na maji ulikuwa unakunywa au unapaka eneo husika?
 
mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Mkuu buy a bike, endesha hasa hizi za kuinama wanaziita race...utanishukiru baadae
 
ndugu nilirudi hospital nilienda kitengule nikapiga x ray uti wa mgongo una shida umepinda na kuna pingili zimeachana
 
Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Ukihitaji dawa asili wasiliana nami 0656303019
 
Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Maranyingi huwa ni upungufu wa Calcium. Ongeza ulaji wa mboga za majani hasa spinach tango kitunguu maji na bamia la kupikwa sio mlenda.

Kula mboga sahani au bakuli zima halafu baada ya nusu saa ndo ule chakula .
Punguza kula wanga mwingi
 
Nina tatizo kama lako kwa zaidi ya miaka 17 sasa. Lilianza nikiwa form three nakumbuka kuna mama alinipa begi 2 nimnyoshee. Niliinama kwa zaidi ya masaa 8. Kuja kuinuka, maumivu mpaka leo na sijapata tiba
 
Back
Top Bottom