Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Mimi nina uzoefu wa kuumwa hivyo vitu hasa upper back ukikaa peke yako jipime urefu wa miguu kama uko sawa, lala kwa tumbo kisha inua miguu yote ishikanishe sawa sawa halafu mwambie mtu aangalie kama visigino vipo kwenye urefu mmoja, au lala kwa mgongo kisha simamisha miguu halafu tizama magoti kama yako sawa.mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Baada ya kuchanganya na maji ulikuwa unakunywa au unapaka eneo husika?Nilikuwa na maumivu miezi 2 nyuma nimepaka kila dawa nikaingia kwa Dr YouTube, wengi wakasema kitungu somu ni kiboko ya maradhi.
Nilikuwa natwanga halafu naweka kwenye gilasi nachanganya na maji siku 4 maumivu yote yame ondoka.
Mkuu buy a bike, endesha hasa hizi za kuinama wanaziita race...utanishukiru baadaemgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Nitafute mimi ni bibgwa wa hii kitu karibu kcmc hospital utanipatandugu nilirudi hospital nilienda kitengule nikapiga x ray uti wa mgongo una shida umepinda na kuna pingili zimeachana
mm niko darNitafute mimi ni bibgwa wa hii kitu karibu kcmc hospital utanipata
Pole muhimbili mcheki Dr Samweli kitugi Nungu hapo idara ya mifupa au Dr Joseph Mwangamm niko dar
Una miaka mingapndugu nilirudi hospital nilienda kitengule nikapiga x ray uti wa mgongo una shida umepinda na kuna pingili zimeachana
Ukihitaji dawa asili wasiliana nami 0656303019Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
Ukihitaji dawa asili wasiliana nami 0656303019
Maranyingi huwa ni upungufu wa Calcium. Ongeza ulaji wa mboga za majani hasa spinach tango kitunguu maji na bamia la kupikwa sio mlenda.Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
35Umri wako?