Ni nasumbuliwa na mgongo, ni mda sasa naomba msaada wa dawa au hospital gani nzuri kwa matatizo haya, cwez kulala bila kukanyagwa mgongo nikichua inapunguza maumivu kwa mda tu.
Tatizo Lako Lina Muda Gani? Je maumivu yanakuwepo muda wote au wakati ukifanya movement flani eg..Kuinama,Kunyanyuka kutoka kuketi,au wakati umeketi muda mrefu? Je unapata ganzi au maumivu kushuka miguuni?