Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

Madhara ya kutumia tiGo huanza pole pole!
kimbilia kwa Mijibaba
kimbilia kwa Mijibaba
Du wageni wengine....mashaka matupu!
Saskia
Junior Member Join DateThu Sep 2010Posts7Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0

sasa nisikilize kwa makiiini sana.Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?
yule beki tatu aliyekwambia mwanamme sarawili umemwacha? Au sio wewe? Bujibuji bana.. Unatisha!!!!
kimbilia kwa Mijibaba