Mijimama na kutumia tiGo vinahusiana vipi?Madhara ya kutumia tiGo huanza pole pole!
sasa nisikilize kwa makiiini sana.
Akikutokea jimama yeyote just chukua namba yake kisha send me thru PM nitakuepusha naye.
Mie ndo mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu[/QUOTE]
BUDEGE?? :becky::becky::becky::becky:
sasa nisikilize kwa makiiini sana.
Akikutokea jimama yeyote just chukua namba yake kisha send me thru PM nitakuepusha naye.
Mie ndo mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

huu ushauri mwingine ni sawa na kukuambia katika kona kali kunja kwa speed ya 90KM/phAcha kulia-lia kijana.
Yasukumizie dawa hayo ma mama.
Hiyo ndo kazi yako mtoto wa kiume.