Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sjaoa badoHiyo sio ishara nzuri, ndoto ya nyoka inamaana nyingi. ngoja tuanzie hapa umeoa/umeolewa?
Omba siku moja umuote Mchina ndoto ya nyoka itaisha, Mchina atamla nyoka huyo fastaImekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana.
Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana!
Msaada tutani.
NB: Mimi ni muoga sana wa nyoka!
Ukiota umemuina nyoka, basi hiyo ni ishara kwamba utakutana na mtu ambaye hamjaonana mda mrefuImekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana.
Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana!
Msaada tutani.
NB: Mimi ni muoga sana wa nyoka!
Hi ni hatari sana🤣Nami nidandie mada,
Nasumbuliwa na ndoto zikionesha naendesha gari, pikipiki, baiskeli nk nk lakini vyote hukosa break ninapokuwa kwenye acceleration ninapokuwa naelekea kupata ajali baada ya kukosa break nashtuka usingizini