Nasumbuliwa na tatizo la Kifua kuuma

mbaswike

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
534
Reaction score
228
jamani wadau wa jamiiforum doctor naombeni ushauri,nasumbuliwa na kifua kinauma na kukohoa mbaya zaidi hata nikitembea nachoka haraka.
 
jamani wadau wa jamiiforum doctor naombeni ushauri,nasumbuliwa na kifua kinauma na kukohoa mbaya zaidi hata nikitembea nachoka haraka.

mkuu nenda hospitali, huko daktari atachukua historia ya ugonjwa wako vizuri na kufanya vipimo....kwaharaka haraka that can be a heart condition...wahi hospitali
 
Pole sana ndugu Provisional Diagnosis probably a Left Sided HF, wahi hospital kwa uchunguzi zaidi.
 
jamani wadau wa jamiiforum doctor naombeni ushauri,nasumbuliwa na kifua kinauma na kukohoa mbaya zaidi hata nikitembea nachoka haraka.

Dawa ya kifuwa kuuma Tafuta Mayai ya ndege aitwae Kware uyale kila siku asubuhi kabla ya

kula kitu vunja mayai ya kware 2 kisha kula kisha kaa kwa muda wa saa 1 bila ya kula kitu. Na

wakati wa Mchana kula tena Mayai 2 kisha kaa kwa muda wa saa 1 bila ya kula kitu. Na wakati

wa usiku kula tena hayo Mayai ya ndege Kware mayai 2 fanya hivyo hivyo Dawa hii kwa muda wa

siku 7 utapona.

KWA MAHITAJI YA MAYAI YA NDEGE KWARE PIGA SIMU KWA MAMA EMA

Simu: +255 673 277 366

Trei moja lina Mayai 30 na Bei yake ni Shs. 24,000/- na yai moja linauzwa Shs.800/-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…