N ngabobo Member Joined Dec 23, 2016 Posts 75 Reaction score 47 Jan 10, 2017 #1 Nasumbuliwa na tatizo la magoti kuuma.Kwenye kiungio joints.Tatizo hili linaninyima raha kwani nimetumia dawa mbalimbali Ila yanapoa kama wiki moja,maumivu yanarudi tena.Kwa mwenye kujua naomba anishauri.
Nasumbuliwa na tatizo la magoti kuuma.Kwenye kiungio joints.Tatizo hili linaninyima raha kwani nimetumia dawa mbalimbali Ila yanapoa kama wiki moja,maumivu yanarudi tena.Kwa mwenye kujua naomba anishauri.
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 Jan 10, 2017 #2 Kula sana bamia mkuu na supu ya kongoro
N ngabobo Member Joined Dec 23, 2016 Posts 75 Reaction score 47 Jan 10, 2017 Thread starter #3 Ahsante Mkuu.Nakunywaga sana supu.Bamia ndio sili sana.Nitajitahidi niongeze speed....
MLAU JF-Expert Member Joined Aug 23, 2007 Posts 4,726 Reaction score 3,363 Jan 11, 2017 #4 Tafuta wauzaji wa products za forever living wanaweza kuwa msaada pia
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Jan 11, 2017 #5 Pole sana mkuu pitia pia haya maelezo yatakusaidia[emoji116] Maumivu katika magoti
N ngabobo Member Joined Dec 23, 2016 Posts 75 Reaction score 47 Jan 11, 2017 Thread starter #6 MLAU said: Tafuta wauzaji wa products za forever living wanaweza kuwa msaada pia Click to expand... Nashukuru MLAU nitawatafuta...
MLAU said: Tafuta wauzaji wa products za forever living wanaweza kuwa msaada pia Click to expand... Nashukuru MLAU nitawatafuta...
N ngabobo Member Joined Dec 23, 2016 Posts 75 Reaction score 47 Jan 11, 2017 Thread starter #7 PROF NDUMILAKUWILI said: Pole sana mkuu pitia pia haya maelezo yatakusaidia[emoji116] Maumivu katika magoti Click to expand... Ahsante Pro.Ngoja nipitie
PROF NDUMILAKUWILI said: Pole sana mkuu pitia pia haya maelezo yatakusaidia[emoji116] Maumivu katika magoti Click to expand... Ahsante Pro.Ngoja nipitie