Nasumbuliwa na tatizo la sikio kupiga kelele

Nasumbuliwa na tatizo la sikio kupiga kelele

Joined
May 4, 2022
Posts
6
Reaction score
2
Jamani wapendwa ninaomba msaada wa tiba ya tatizo la maskio kusikia kelele Nina miaka 5 Sasa sijapata suluhisho .
 
Jamani wapendwa ninaomba msaada wa tiba ya tatizo la maskio kusikia kelele Nina miaka 5 Sasa sijapata suluhisho .
Hiyo kwa kitaalamu tunaita Tinnitus, nenda hospitali waambie unataka kuonana na daktari anayehusika na masikio kwa kitaalamu tunawaimba ENT specialist (Ear,Nose and Throat)
 
Jamani wapendwa ninaomba msaada wa tiba ya tatizo la maskio kusikia kelele Nina miaka 5 Sasa sijapata suluhish
Mtafute Dr Simba,nenda Mhimbili au Burhan Hospital,ni daktari Bingwa wa masikio.Mtangulize Mungu,utapona
 
Mtafute Dr Simba,nenda Mhimbili au Burhan Hospital,ni daktari Bingwa wa masikio.Mtangulize Mungu,utapona
 
Pole sana ila tiba mbadala tafuta majani ya MMEA aka cha arusha yakamue yatoe maji maji alafu miminia yale maji maji sikioni kwa siku 3..!
 
Mimasikio itakua michafu hiyo,nenda hospital wakaisafishe
 
Back
Top Bottom