Nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega

Abdulaziz Ally

New Member
Joined
Feb 16, 2019
Posts
3
Reaction score
2
HABARI

Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega langu la KUSHOTO ila alijavimba liko kawaida tu.

Maumivu yake ni makali mno na bega linagoshekaa sana linatoka sautiii kama vile mtu akigisha vidole ila alinizui kulifanyia KAZI ilaa tatizo kubwa ni haya maumivuuu nilifanikiwa kwenda AMANA HOSPITAL nikafanya vipimo vya EXRAY Cha ajabu doctor kanambia akuna tatizo haoni tatizo.

Je, kuna Daktari yoyote mwenye uzoefu na hili umri wangu ni miaka 27 Sasa jinsia ni wakiume mkaka nina ulefu WA futi 5

KWA FAIDA YANGU NA KWA WENGINE PIA WANAOSUMBULIWA NA TTZO KAMA LA KWANGU NAOMBA USHAURIII NA MAJIBU HAPA.
 
Tatizo liko kwenye uti wa mgongo. Uzoefu. Nenda wafanye exray ya uti wa mgongo ikionekana shida nitafute kwa ajili ya kukufanyia mazoezi maalum
 
HABARI

Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega langu la KUSHOTO ila alijavimba liko kawaida tu.

Maumivu yake ni makali mno na bega linagoshekaa sana linatoka sautiii kama vile mtu akigisha vidole ila alinizui kulifanyia KAZI ilaa tatizo kubwa ni haya maumivuuu nilifanikiwa kwenda AMANA HOSPITAL nikafanya vipimo vya EXRAY Cha ajabu doctor kanambia akuna tatizo haoni tatizo.

Je, kuna Daktari yoyote mwenye uzoefu na hili umri wangu ni miaka 27 Sasa jinsia ni wakiume mkaka nina ulefu WA futi 5

KWA FAIDA YANGU NA KWA WENGINE PIA WANAOSUMBULIWA NA TTZO KAMA LA KWANGU NAOMBA USHAURIII NA MAJIBU HAPA.
Uric acid inayopelekea kitu kama allergy ya vyakula ambavyo vina purine
 
Nmeweka Kambi na yani hii shida unayoongelea ni kama unaniongelea mimi mimi imesogea zaidi kwenye shingo pia.
 
Back
Top Bottom