Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali

Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
175
=Nawasalimia humu ndani. Nisaidieni jamani tatizo la kurithi', Tatizo langu ni la siku nyingi kidogo. Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali upande wa kulia na kushoto mwa tumbo, mara nyingi pia maumivu ya kiuno, mkojo kuwa wa njano.
=Mzee wangu anasumbuliwa na matatizo haya na nahisi nimerithi kwake.
= Dawa za hospitali nimezitumia sana lkn tatizo linapotea kwa mda. NAOMBA USHAURI WENU
 
=Nawasalimia humu ndani. Tatizo langu ni la siku nyingi kidogo. Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali upande wa kulia na kushoto mwa tumbo, mara nyingi pia maumivu ya kiuno, mkojo kuwa wa njano.
=Mzee wangu anasumbuliwa na matatizo haya na nahisi nimerithi kwake.
= Dawa za hospitali nimezitumia sana lkn tatizo linapotea kwa mda. NAOMBA USHAURI WENU
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Tafuta siki ya zabibu utie kwenye glass kama vijiko vya Chai vikubwa vinne tia maji full kunywa usile chochote Muda wa saa inshallah inshallah inshallah inshallah utapoa you get relief
 
Asante kiongozi
 
Asante mkubwa. Hayo maji ni ya uvuguvugu au ya kawaida?
 
Tafuta dawa za mitishamba za kihaya mshana na kabindizi uchanganye inatibu
 
Hayo maumivu ya tumbo hua yako sehem gan hasa ya tumbo?? Kulia/kushoto Chini,kulia/kushoto katikati au kulia/kushito juu??
Hayo maumivu yakoje?? N ya kuchoma?? Yakusokota?? Au kukata???
 
Asante. Haya maumivu yako kulia/kushoto chini na yanakata au wakati mwingine yanachoma. Pia maumivu hayo yanatokea kwa pamoja pande zote mbili au wakati mwingine upande mmoja
 
ke au me
 
Back
Top Bottom