Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.=Nawasalimia humu ndani. Tatizo langu ni la siku nyingi kidogo. Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali upande wa kulia na kushoto mwa tumbo, mara nyingi pia maumivu ya kiuno, mkojo kuwa wa njano.
=Mzee wangu anasumbuliwa na matatizo haya na nahisi nimerithi kwake.
= Dawa za hospitali nimezitumia sana lkn tatizo linapotea kwa mda. NAOMBA USHAURI WENU
Asante kiongoziNitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Asante mkubwa. Hayo maji ni ya uvuguvugu au ya kawaida?Tafuta siki ya zabibu utie kwenye glass kama vijiko vya Chai vikubwa vinne tia maji full kunywa usile chochote Muda wa saa inshallah inshallah inshallah inshallah utapoa you get relief
Asante. Haya maumivu yako kulia/kushoto chini na yanakata au wakati mwingine yanachoma. Pia maumivu hayo yanatokea kwa pamoja pande zote mbili au wakati mwingine upande mmojaHayo maumivu ya tumbo hua yako sehem gan hasa ya tumbo?? Kulia/kushoto Chini,kulia/kushoto katikati au kulia/kushito juu??
Hayo maumivu yakoje?? N ya kuchoma?? Yakusokota?? Au kukata???
ke au meAsante. Haya maumivu yako kulia/kushoto chini na yanakata au wakati mwingine yanachoma. Pia maumivu hayo yanatokea kwa pamoja pande zote mbili au wakati mwingine upande mmoja