Nasumbuliwa na vichomi tumboni

Nasumbuliwa na vichomi tumboni

Nyakazeze

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
36
Reaction score
7
Poleni na majukumu,
Nilifanyiwa operation mwaka 2004 na 2007 za uzazi, kunakipindi tumbo langu linakuwa na vichomi pamoja na kujaa ges, nilionana na Daktari na kumuelezea shida yangu aliniambia tatizo ni operation niliyofanyiwa hivyo dawa ni kunywa maji ya moto au chai ya rangi.
je,hiyo ndio tatizo au ninashida nyingine?
Asante
 
Pole sana. Nenda mtafute specialist wa tatizo hilo ukishindwa Ntafute nitakueleza cha kufanya.0689417472
 
Back
Top Bottom