Poleni na majukumu,
Nilifanyiwa operation mwaka 2004 na 2007 za uzazi, kunakipindi tumbo langu linakuwa na vichomi pamoja na kujaa ges, nilionana na Daktari na kumuelezea shida yangu aliniambia tatizo ni operation niliyofanyiwa hivyo dawa ni kunywa maji ya moto au chai ya rangi.
je,hiyo ndio tatizo au ninashida nyingine?
Asante