Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Jamani naombeni ushauri jinsi ya kuvitibu haraka vidonda kwenye ngozi ya mapumbu. Vimetokana na wakati naoga nilijisugua kwa nguvu kwa dodoki nikachubuka sasa vina wiki 1. Natumia sabuni ya zoazoa.
Ahsante.
Ahsante.