Jamani naombeni ushauri jinsi ya kuvitibu haraka vidonda kwenye ngozi ya mapumbu. Vimetokana na wakati naoga nilijisugua kwa nguvu kwa dodoki nikachubuka sasa vina wiki 1. Natumia sabuni ya zoazoa.

Vitapona.
Ila usijisugue sana sehemu hizo zipo delicate. Ikiwa sababu ni changamoto ya muwasho basi bora utibu chanzo cha huo muwasho kuliko kujisugua na sabuni kali. Jisafishe kawaida tu, usije kutengeneza shida nyengine bure.