Lizo mkristu
Member
- Oct 31, 2019
- 75
- 95
Kamuone mtaalam wa ngoziHabar za jioni waungwa wenzangu.mimi nadumbuliwa na vipele maeneo ya kalibu na shingo ampapo ndio nyele za kichwa huishi je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante.View attachment 2705198View attachment 2705199View attachment 2705200
Asante
Halafu rekebisha mada yako isomeke hiviAsante
Asante mkuu si unajua sisi wageni kutoka mjini Facebook kwaiyoo Sina uzoefu na Jiji lenu la jfHalafu rekebisha mada yako isomeke hivi
Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu JFAsante mkuu si unajua sisi wageni kutoka mjini Facebook kwaiyoo Sina uzoefu na Jiji lenu la jf
Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante!
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2705200asali paka ukimaliza kunyoa utanishukuru