Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulcers ni ugonjwa gani? Naomba nifafanulie.
Vidonda vya tumbo mara nyingi ndo mtu hua anapata maumivu kama ya kuwaka moto
Jaribu kuacha kula vyakula vyenye asidi kama maharage na pia kula mara kwa mara usikae masaa mawili au matatu hujatia kitu tumboni pia maziwa fresh yanasaidia kidogo kupunguza maumivu