oa tu mkuu
Utakuwa sio mzoefu mkuu hata sisi tulihisi hivyo lakini ukiongeza mechi hiyo hisia itapotea.hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia condom na yawezekana hata nikamchukia huyo binti. Je nn chanzo? nifanyeje?
OA if ur ready ukilazimisha kuoa pia inaweza kula kwako.
Acha kufanya ngono,fanya mazoezi,kula vizuri keep urself busy,chat n go out with pipo.
Ukishindwa kabisa kati yahao wengi chagua au tafuta mmoja ujifunze kumpenda kwa dhati maana wewe tatizo lako unalala nao bila kupenda,yani when u feel sex u jst pik one from the list.Learn how to love