nasuuuutwa na roho.....

dawa ni kuacha uzinzi tu mkuu utakuwa na amani na nafsi haitokusuta tena.
 

Hii inaonyesha jinsi gani uko karibu na Mungu, na ukiweza acha kuzini. Ukishindwa, basi tafuta binti na ukamwoe ili uhalalishwe. Mungu azidi kukubariki
 
Uzinzi brings GUILTY feelings na ukiona umeanza kuwa comfortable with it jua umekwisha!
 
haleluyaaaaa! Glory to God! Watu wamefunguka macho.
miaka ya nyuma Nairobi nilikuta watu wanapenda sana kupanda matatu iliyokuwa inaitwa haleluya express nikadhani labda ni ya mtu wa dini lakini nikaambiwa dereva anaikimbiza sana na anajuwa shortcuts zote ukiwa ndani unakuwa na hofu tele lakini unawahi kazini watu wakaibatiza jina hilo na dreva akaliandika nyuma.
 
ukiona hvyo its an alert toka kwa roho mtakatifu anakushuhudia uache kwani umeshajua dhambi yako na ukicheza utaukwaa ukimwi kweli. Unachotakiwa kufanya sio kumchukia msichana, uchukie uzinzi na utakuwa na amani. Na pia oa utakuwa na amani ukimdo wa kwako.
 
Naona ndio post ya 4 umeshaanza kulalamikia mambo yako ya unyumba...sasa wewe uende kule fb uwaulize watoto wenzio kwanza halafu uje hapa
 
Acha kabisa kuzini... Umeshaisikia sauti ya roho akikusihi uache dhambi ya kuzini, basi na uifuate...! Be Blessed broda...
 
[h=2][/h]
Bila ya kujali madhehebu yao wapo watu ambao amri za Mwenyezi Mungu zimeandikwa kwenye mioyo yao na huumia sana wanapomkashifu Muumba kwa kutomtii na kudhubutu kutenda dhambi...............................naamini u mmoja wao......................................tii dhamira yako ya kuchukia maovu yote kwenye jamii na ukumbuke urafiki na mwanadamu ni uadui na Muumba.......................Mwanadamu leo yupo kesho hutamwona lakini Muumba alikuwepo yupo na atakuwepo milele Amen..................chaguo ni lako pekee...........
 
Kwa nini hujisikii hivo kabla ya tendo?
 
Imani yako ni safi sana, hivyo Oa mkuu utakuwa unakula bila woga wa dhambi.
 
i will tell yu the reason why. ukizini, kama mwanamke yule ana laana, inakuingia na wewe, kuingiliana kimwili huwa inaingiliana hata laana na mikoso na matatizo yote, wewe unaonekana ulishawahi kuwa mtu wa Mungu kipindi cha nyuma, hivyo Roho wa Mungu huwa anakuwa anakusuta sana ili usiendelee kufanya hivyo. msikilize Mungu uache hizo dhambi, lasivyo, ukiona hujisikii tena hukumu ujue ndo umeshatemwa kabisa na Mungu....ole wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…