Natabiri; Arsenal FC itashuka daraja msimu huu

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Msimu huu arsenal hatoboii yaani championship inawahusu

Ndio championship...Sasa arsenal hii itamfunga nani?? Yaan hata wafukuze kocha ni mwendo wa vipigo tuu.

Wachezaji wote waajabu ajabu tu

Na mechi ijayo ni dhidi ya man city mtapigwa hadi mchakaeee

 
Naheshimu mawazo yako ila umekurupuka kuanzisha uzi huna evidence yoyote ya kina kutetea ulichopost na hata hustoria ya hiyo timu huijui mno.
 
Kushuka haishuki, top 6 itakuwemo. Na huyo man city wenu akileta za kuleta anapokea kichapo vilevile.
 

Huyu Mzee wa watu alifanya kila awezalo kutuweka pale tulipokua hatukujua vita aliyokua anapigana. Timu yetu ni ya kawaida sana ila ni Wenger magic ilikua inatusadia
 
Ungetabiri kufukuzwa kwa Arteta maoema iwezekananvyo, ungekua umepatia kwa 100%! Ila kushuka daraja, hilo sahau. By the way, Mimi ni Team Chelsea!!
 
Huu sio utabiri.yaan wewe umeangalia msimamo baada ya mechi mbili alafu unaita utabiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…