Tetesi: Natabiri: Gavana kutumbuliwa

Tetesi: Natabiri: Gavana kutumbuliwa

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3,844
Reaction score
6,448
Ukifuatilia mlolongo na mwenendo wa matukio, basi bila shaka utajua hasa nini kinafuata!

Baada ya kuondolewa Dr. Servacius Likwelile mapya ( kwa baadhi yenu) yameanza kuzungumzwa! Japo kwa wadadisi watakua wamepata taarifa wa hayo ambayo yameanza kuripotiwa kwenye vyombo vya habari hasa magazeti tangu mwezi March mwaka huu!

Unadhani ni coincidence tu kwamba Rais amteue katibu mkuu wa wizara nyeti kisha baada ya siku moja iripotiwe suala la "Uchapwaji wa noti/sarafu/ fedha mpya"??

Kama mnajua kuconnect dots basi maeneo haya ya BoT, Nec na NIDA yana wakati "mgumu" kwa sasa!

Natabiri tu kama kichwa cha habari kijielezavyo.

Huenda utabiri usikamilike hivyo usichukulie "serious" kivilee taarifa hii, unaweza ipotezea!
 
Na kumbuka huko pote kapita Kachero namba 1 wa TISS , Dr Kipilimba
 
Back
Top Bottom