Natabiri kuna siku Bernard Membe atarudi CCM

Ben mnamsimanga bure tu kwa hisia zenu,yawezekana kabisa kuwa Membe yupo na amebariki yote yanayoendelea.Mtaficha wapi sura zenu siku akiwprove wrong?
 
TAARIFA: Bernard Kamilius Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, leo Jumatatu saa 4:30 asubuhi atazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. #MwanaHALISIDigital
 
Na mie natabiri kuna siku Maalim Seif (nae alifukuzwa) atarudi CCM
 
Inawezekana siku hiyo ikawa leo
 
Hahahaha membe anafaa kumbe kuimba na taarabu kweli uyu jamaa ni special trained agent mwenye documentary ya membe naomba ikiwemo na misheni zake alizo zifanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…