NATABIRI: Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021

jiwe gizani

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
380
Reaction score
507
Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021

Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara

 
Niko Paris, upepo ukigeuka nahamia Italy, ugali ukimwagika nakimbilia German, mboga nazo zikinyofoka nitajua nashibaje..
Ukikosa zote izo we acha kufatilia mpira [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…