NATABIRI: Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021

German mechi nyingi zote watachezea munich. Kwahiyo wana advantage ya kufika mbali, portugal na france mmoja anaweza kuaga hatua ya makundi group F.

Group A kuna italy nayo ina faida mechi nyingi atacheza nyumbani, faida hiyo.

Wazee wangu wa kubeti, kuna timu zitaondoka na point 9 hatua ya makundi,na kuna timu zitapigwa mechi zote hatua ya makundi.ukizibaini zikusanye mkeka mmoja weka mzigo. Mwezi juni utakuwa na baraka.

England pia wapo wembley.
 
Mi nawapa GERMANY and note my word wale mabwana wanabeba lile kombe. Stay tuned!!
 
Mashindano kuchezwa miji tofauti yataharibu ladha ushindani hautakuwa mkubwa, binafsi naliona kama Kombe la mataifa la Ulaya 2020 la maonesho.
 
Sijui kwa nini nimeshindwaga kutoiamini England. Kila mara wananiangusha but still naamini watatoboa.

England watabeba ndoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…