World football na sports premium na tv3Chanel gn startimes
Ureno alivyochukua Mara ya mwisho hakuna aliyejua. Alikuwa underatedUfaransa
Ubelgiji
Ujerumani
Ureno hata nusu hafiki
Hahahaha aliyepanga hili group alikuwa na mawazo gani? Yani miamba yote inatupwa group moja na hapo ni timu mbili ndo zinatakiwa.If there’s ever a definition of the ‘Group of Death’ surely it’s gotta be Group F in EURO2020
France, Germany, Hungary, Portugal
To say I’m salivating at the mouth is an understatement.
My note: timu zitakazofuzu hili group, mojawapo utafika fainali.
Yes ni kweli mkuu na ndo linaweza kutoa bingwaGroup F ni group la kifo aisee, ngoja tuone wababe
Antenna sh elf 15 kwa mweziHizo chanel bei gani kuzipata
Utapindua kwa italy?Me nawapa Belgium
Wote baba jeniKama siyo France basi ni Ureno, mojawapo hapo akifika fainal atabeba.
#Singapore
France na Portugal tayari tushazika bado mjerumani sasaHahahaha aliyepanga hili group alikuwa na mawazo gani? Yani miamba yote inatupwa group moja na hapo ni timu mbili ndo zinatakiwa.
My note: timu zitakazofuzu hili group, mojawapo utafika fainali.
#Singapore
Bai Bai [emoji2]Wote baba jeni
Hapo sawaHapo vipi?