Khalidmamlo
New Member
- Jun 27, 2021
- 2
- 2
Nadhani ulimaanisha bad luckyFrance imekamilika Kila idara .. Bad lack to ndiyo ipo baina yao na ubingwa
Baki na Italy tuNiko Paris, upepo ukigeuka nahamia Italy, ugali ukimwagika nakimbilia German, mboga nazo zikinyofoka nitajua nashibaje..
[emoji28][emoji28][emoji28]Mi nawapa GERMANY and note my word wale mabwana wanabeba lile kombe. Stay tuned!!
Wamekufa woteGroup F ni group la kifo aisee, ngoja tuone wababe
Sio Belgium?.1.England au Italy
Kweli wamebeba kikombe Cha maji.Mi nawapa GERMANY and note my word wale mabwana wanabeba lile kombe. Stay tuned!!
Na wote wamekufa hakuna alietoboa roboGroup F ni group la kifo aisee, ngoja tuone wababe
Daahh, comment nilikuwa naitafuta sana, nilisahau hub uzi ila nilikuwa naikumbuka commentBaki na Italy tu
Sawa mkuuSisi kama 3 LIONS, ENGLAND hii ndo euro yetu.
Ndio wanakoelekeaMpambane Sana mfike hata nusu
Ngoja tusubiri1.England au Italy
Mbona weshafungasha virago tayari?Kama si France π«π· basi ni Portugal π΅πΉ wale Belgium π§πͺ nao ni moto wa kuotea mbali.
Mbona weshafungasha virago tayari?