Kama inakujaa ivii...
Si ilishatolewaTimu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021
Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
View attachment 1812664
Daaah nimeona hii leo nikabaki nachekaTimu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021
Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
View attachment 1812664
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Unpopular opinion, Italy wanashinda Euro. I rest my case!
Kama inakujaa ivii...
Wewe mkuu imebidi nifukue makaburiUnpopular opinion, Italy wanashinda Euro. I rest my case!
Hongera kak imekuaa bingwa kweliTimu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021
Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
View attachment 1812664