Natabiri ufaransa wanaenda kupokea mvua za Holi kutoka kwa wajukuu wa Malkia

chawa wa mama

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
292
Reaction score
1,084
Kila nikitazama uchu wa mwingereza kuchukua kombe hili, na kikosi alichonacho, aiseee! It's coming home.

Wafaransa wanapendwa kwa rangi yao tu na kidogo vijina vya wavulana wao wanaorukaruka uwanjani wale.

Ila isipojiangalia leo Ufaransa inaenda kupata aibu ya Karne.

Wekea lamination Uzi huu kwa rejea ya baadae
 
Ngoja Nitafute Litres 5 Ya Red Sweet Wine
Baadaye Nitasema Watu Wabaya Hawaishi..........Ekadu Mosie...Ukiweya Utaona
 
Hili ni jukwaa la mpira na sio la umbea unapoanzisha mada hebu jaribu kutetea kidogo kwa point sio unaandika tu kimahaba yaani hapo hakuna kitu technical wala tactical ulichoandika zaidi ya hisia tu.
 
Vipi hali ipoje hapo Uingereza mkuu!!
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…