natabiri ugonjwa kwa mgombea uenyekiti bunge la katiba

natabiri ugonjwa kwa mgombea uenyekiti bunge la katiba

Status
Not open for further replies.

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
salaam wanajamvi,
ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi kua mshindi adi kusababisha uchaguz kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake. Tumuombee tafafhali
 
JF mpaka waganga wa tiba za asili nao wamo
 
salaam wanajamvi,
ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi kua mshindi adi kusababisha uchaguz kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake. Tumuombee tafafhali

...Hahahaaaa ba nso. Mie natabiri atalazwa hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa muda na baadaekuamishwa
 
Me najua kiti kinagombaniwa na watanganyika na wazanzibar na sidhani kama kuna upande unapenda mtu wake awe mwanamke maana anaweza lia kwa bunge hili la katiba
 
Mie natabiri akishashinda atapishwa kitini na mwenyekiti wa muda halafu atatafutiwa makamo mwenyekiti!
 
6 ataumwa fisadi lililoshondwa hata kutafsiri sheria lilizosoma kwa miaka na kushindwa zielewa litalazimisha kuingia.Ili likashiriki lazimisha katiba lisiyoijua km mikatab.Litaingi jamaa linaongea km linatafuna nyama ya moto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom