salaam wanajamvi,
ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi kua mshindi adi kusababisha uchaguz kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake. Tumuombee tafafhali
...Hahahaaaa ba nso. Mie natabiri atalazwa hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa muda na baadaekuamishwa